Nancy Kigunzu maarufu ‘Mathe wa Ngara’ atafutwa

  • | Citizen TV
    1,473 views

    Maafisa wa polisi wanamsaka Nancy Kigunzu maarufu "Mathe Wa Ngara" baada ya kufanya msako katika jumba analomiliki mtaani juja kaunti ya Kiambu.