- 34,727 viewsDuration: 1:57Leo tumeamka na taarifa za Marekani na Iran kukubaliana kusitisha mapigano kwa wiki mbili. Cha ajabu ni kwamba pande zote mbili zimetoa kauli za kushinda vita hivyo. Ungana na mwandishi wa BBC @beldeen__waliaula kwa taarifa hii ila na wewe tuambie, kwa maoni yako nani aliyeibuka Mshindi wa Vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran. #bbcswahili #foryou #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok #marekaninairan #israël Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw