"Napenda kazi yangu initambulishe kuliko 'kiki'" - Phina, Mwanamuziki wa Tanzania

  • | BBC Swahili
    404 views
    Akitokea katika familia iliyompinga kufanya muziki, mwanamuziki Saraphina maarufu kama @phina_tz amekuwa akikua kimuziki tangu alipoachia kibao chake kinachopendwa na wengi Afrika Mashariki na kati cha ‘Upo Nyonyo’ Anajivunia utunzi bora wa mashairi na utambulisho wake binafsi wa sauti na madaha jukwaani huku baadhi wakimfananisha na @vanessamdee @phina_tz alizungumza na mtangazaji Kínára wa BBC @roncliffeodit na kuandaa taarifa hii 🎥: @frankmavura #bbcswahili #tanzania #nyotawaafrikamashariki