NASA: wamebadili nadharia iliyopo ya jinsi sayari katika mfumo wa jua zilivyoundwa.

  • | BBC Swahili
    Mtazamo wa wanasayansi wa NASA unapinga nadharia kuwa miamba iligongana kwa pamoja na kuunda miamba mikubwa hadi kuwa sayari. Wanasama kuwa wanaoushahidi kuwa uundwaji huu ulikuwa wa utulivu , miamba ikijikusanya pamoja. #NASA #BIGBANG #BBCSwahili