'Nasafiri na paka wangu watatu mabegani kila niendapo'

  • | BBC Swahili
    481 views
    Spongecake, Donut na Mocha ni paka ambao wangeuka kuwa watalii. Raia mmoja kutoka Marekani ameangazia maisha ya paka hawa katika mtandao wa TitTok. Paka hawa wanaweza kusafiri kwa muda mrefu bila usumbufu wa aina yoyote ile kutokana na mafunzo wanayoyapata. Lakini unapofikiria kusafiri na wanyama vipenzi tafadhali kuwasiliana na daktari wa wanyama kwanza. #bbcswahili #Marekani #wanyama