'Nashukuru Mungu ubongo wangu upo Sawa, itakuwa kivumbi na jasho Zanzibar’ - Mandonga

  • | BBC Swahili
    789 views
    Baada ya majibu ya uchunguzi wa kitabibu yaliyofanyika kuonesha kuwa Bondia wa Tanzania Mandonga hajaathirika kokote, bondia huyo amewataka mashabiki wake wawe na amani na kuahidi kuwa itakuwa kivumbi na jasho katika pambano lake lijalo litakalofanyika Zanzibar. Uchunguzi wa kitabibu umeonesha kuwaafya ya bondio huyo ipo vizuri na anaweza kuendelea na pambano lake linalokuja. 📽️ @frankmavura #bbcswahili #tanzania #mandonga