- 2,277 viewsDuration: 2:34Msanii chipukizi na mzalishaji muziki kutoka Tanzania, Frank Joseph maarufu kama @clickmaster_1, anayetamba na nyimbo kama Nilipe na Ngedere anasema analenga kuleta ladha tofauti inayochanganya muziki wa Kiafrika, uandishi wa kisasa na shangwe za mitaani zinazowavutia vijana wa sasa kupitia mtindo alioupa jina la Afrocombo. Mwandishi wa BBC @frankmavura amezungumza na mwanamuziki huyo #bbcswahili #nyotawafrikamashariki #muziki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw