'Natamani nisingenusurika’:

  • | BBC Swahili
    572 views
    Kwa nini wanawake wanajichoma moto huko Kurdistan? - Katika eneo la Kurdistan, nchini Iraq wanawake ambao wanahisi wamekwama katika kaya zenye unyanyasaji wa majumbani huona kujiua kwa kujichoma moto kama njia yao pekee ya kuondokana na unyanyasaji huo. #bbcswahili #iraq #kurdistan