'Natamani wazazi wangu wangekuwa hai'

  • | BBC Swahili
    783 views
    Omar, mwenye umri wa miaka 13, ni mmoja wa mamia ya yatima huko Gaza ambao wazazi wao wamefariki. Wazazi wake wote wawili waliuawa katika shambulizi la Israel, na kumwacha yeye na ndugu zake watano peke yao. Mtoto mdogo zaidi katika familia hiyo ana umri wa mwaka mmoja, na mkubwa ana miaka 17. Sasa, wote wanaishi na mjomba wao, ambaye nyumba yake pia imeharibiwa na kuwa kifusi kutokana na shambulio la bomu huko Gaza. #bbcswahili #gaza #hamas Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw