Natembeya: Ugatuzi umewezesha huduma kuwafikia wakazi mashinani

  • | Citizen TV
    489 views

    Mwaka 2010 katiba mpya ilipitishwa na kuunda serikali 47 za kaunti. tangu wakati huo maendeleo yamefika mashinani japo magavana wanalalamikia changamoto za kucheleweshwa kwa pesa za magatuzi na serikali kuu na hivyo kuchelewesha miradi ya maendeleo. Miaka 13 baadaye swali ni je ugatuzi umefaulu? Mwanahabari wetu Collins shitiabayi amezungumza na gavana wa Trans-Nzoia George Natembeya na hii hapa taarifa yake