"Naweza kukaa hadi siku nne kwenye foleni ya mafuta"

  • | BBC Swahili
    911 views
    Kwa miaka kadhaa sasa nchi ya Burundi imekuwa na uhaba wa mafuta hasa petroli na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wananchi wa taifa hilo. Burundi imekuwa ikipokea shehena yake ya mafuta kutoka bandari ya Dar es Salaam nchini Tanzania na kwa mujibu wa Rais Evariste Ndaishimiye, uhaba huu umesababishwa na wafanyabiashara wenye malori kukataa kuleta mafuta. 🎥@eagansalla_gifted_sounds #bbcswahili #burundi #uchumi