NCCK imewataka viongozi kutupilia mbali tofauti zao za kisiasa kama inavyoshuhudiwa nchini

  • | NTV Video
    44 views

    Baraza la makanisa nchini NCCK, limewataka viongozi kutupilia mbali tofauti zao za kisiasa kama inavyoshuhudiwa nchini bali kuwafanyia wakenya kazi. HAYO YAKIJIRI.Wanaharakati wa kutetea haki za wanawake wametishia kufanya mandamano katikati mwa jiji la nairobi kuishinikiza serikali kuwachukulia hatua waajiri wanao wanyanyasa wafanyikazi wa nyumbani.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya