NCCK watoa wito kwa viongozi wa Meru kuzingatia mazungumzo

  • | TV 47
    10 views

    Huku viongozi mbalimbali katika kaunti ya Meru wakiunga mkono hoja ya kumtimua gavana Kawira Mwangaza, baraza la kitaifa la makanisa nchini limeibuka kama wapatanishi wanaowataka viongozi wote waliochaguliwa kukumbatia mazungumzo ili kuboresha maisha ya mwananchi wa meru wanaokabiliana na gharama ya juu ya maisha. Jumla ya wawakilishi wadi 27 wa bunge la kaunti ya Meru tayari wametia saini hoja ya kumtimua gavana huyo katika muda wa chini ya mwezi mmoja. __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __