- 30,970 viewsDuration: 2:06Wakati wananchi wa Tanzania na Kenya wakiendelea kulalamikia kupanda kwa bei ya mafuta kuanzia mwezi April na sasa Mei mwaka huu, baadhi ya mataifa ya Afrika bado yanaendelea kuuza mafuta kwa bei ya chini sana kulinganisha na wastani wa dunia. @frankmavura anaelezea nchi hizi 5 Afrika ambazo mafuta huuzwa kwa bei ya 'chapati' #bbcswahili #Nishati #beiyamafuta Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw