Nchi sita za Afrika zazindua huduma za mtandao za satelaiti za Starlink

  • | VOA Swahili
    64 views
    Zambia imekuwa nchi ya 6 barani Afrika kuzindua huduma za mtandao za satelaiti za Starlink. Lengo ni kuwapa wananchi ufikiaji wa mtandao wa haraka na wa kutegemewa. Lakini haijulikani ikiwa huduma hiyo ni ya bei nafuu ya kutosha ili kusaidia kuziba mwanya uliopo wa matumizi ya digitali #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.