Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki zakubaliana kuutangaza utalii kwa pamoja

  • | VOA Swahili
    147 views
    Nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki zimekubaliana kutangaza utalii kwa pamoja badala ya kila nchi kunadi utalii yenyewe ikiwa ni jitihada za kuinua utalii wa kanda nzima. Katika kongamano la tatu la utalii lililomalizika nchini Kenya, nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki wamekubaliana kuanzisha mchakato wa kuondoa hitaji la visa ilikuwarahishia watalii kuzuru mataifa hayo kwa wakati mmoja bila pingamizi. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.