NCIC yahimiza umuhimu wa mazungumzo baina ya vizazi

  • | KBC Video
    132 views

    Tume ya uwiano na utangamanao wa kitaifa NCIC, imeunga mkono wito wa mazungumzo yatakayoangazia ukosefu wa imani baina ya vizazi, ukosefu wa ajira, na kutamauka miongoni mwa vijana. NCIC imependekeza jukwaa lake la mazungumzo la vizazi tofauti litumike kwa mazungumzo hayo, ikisema linatoa fursa ya majadiliano, tafakari ya pamoja na utekelezaji wa maafikiano. Haya yanajiri huku tume hiyo ikifichua kwamba imependekeza kushtakiwa kwa aliyekuwa naibu wa Rais Rigathi Gachagua kwa madai ya matamshi ya chuki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive