NCIC yamshtumu Rigathi Gachagua kwa matamshi ya chuki

  • | Citizen TV
    3,652 views

    Tume ya uwiano na utangamano wa kitaifa sasa inamtaka aliyekuwa naibu Rais Rigathi Gachagua kufika mbele yake kuhojiwa kuhusiana na matamshi yake kuhusu uchaguzi. Mwenyekiti wa tume hiyo ya NCIC inasema matamshi hayo yaliyofananisha ghasia za uchaguzi wa mwaka 2007 ni ya kukirihisha. NCIC Pia ikisema kuwa inawachunguza wanasiasa 28 zaidi kwa matamshi ya chuki,