NCIC yamshutumu Gachagua

  • | Citizen TV
    266 views

    Tume ya Uwiano na Utangamano wa Kitaifa (NCIC) imemtaka Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua kufika mbele yake kufuatia matamshi yake kuhusu uwezekano wa vita baada ya uchaguzi ujao, na kutaja vita vilivyozuka baada ya uchaguzi wa 2007/2008 kama “sherehe ya Krismasi.”