Ndani ya njia za siri za Hamas zilizo chini ya ardhi Gaza

  • | BBC Swahili
    25,511 views
    Kuharibu njia za chini ya ardhi za Hamas zenye urefu wa kilomita 500 inadhaniwa kuwa ndio shabaha kuu kwa Israel katika mashambulizi ya ardhini huko Gaza. Lakini sehemu na milango ya kuingilia katika mahandaki hayo yaliyo chini ya ardhi zipo katika maeneo ya makazi ya watu, na kuna uwezekano mateka wa Israel kuwa wameshikiliwa huko. #bbcswahili #Isrel #Gaza Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw