Ndege inayodaiwa mkuu wa Wagner kuwa miongoni mwa abiria ilivyoanguka

  • | BBC Swahili
    2,034 views
    Picha zilizothibitishwa na BBC zinaonyesha wakati ndege ikianguka kutoka angani huko Kuzhenkino, Urusi. Bosi wa Wagner Yevgeny Prigozhin alikuwa kwenye orodha ya abiria wa ndege iliyoanguka nchini Urusi na kuwaua watu wote 10 waliokuwa ndani. Inaaminika kuwa alikuwa ndani ya ndege hiyo. #bbcswahili #urusi #prigrozhin