Ndege ndogo zisizo na rubani kutumika kunasa wauzaji wa pombe haramu

  • | K24 Video
    Polisi,wakaazi wa kiambu  na maafisa wa kaunti hiyo wameanzisha mpango wa ushirikiano wa kutumia ndege ndogo zisizo na rubani, maarufu ‘Drones’ ili kuwanasa walanguzi wa dawa za kulevya pamoja na wauzaji wa pombe haramu