- 6,256 viewsDuration: 21sDereva wa lori amejeruhiwa kidogo baada ya ndege ya United Airlines kugonga gari lake pamoja na taa ya barabarani wakati ikikaribia kutua katika Uwanja wa Ndege wa Newark Liberty, New Jersey Ndege hiyo (Boeing 767) ilikuwa inatoka Venice, Italia, na ilifanikiwa kutua salama bila abiria au wahudumu kuumia. Kampuni ya United Airlines imesema itachunguza kwa kina tukio hilo na pia imewaondoa kazini kwa muda wahudumu wa ndege hiyo wakati uchunguzi ukiendelea. #bbcswahili #ajaliyandege Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw