- 18,805 viewsDuration: 53sMarubani wanne wa ndege za kijeshi aina ya EA18-G zinazohudumu katika jeshi la wanamaji la Marekani wanauguza majeraha hospitalini baada ya ndege 2 za kivita kugongana angani wakati wa maonyesho katika jimbo la Idaho nchini Marekani. - Uchunguzi unaendelea kubaini chanzo cha ajali hiyo iliyosababisha taharuki miongoni mwa mashabiki na hasara kubwa. - #bbcswahili #marekani #ajali #fyp #donaldtrump