Nderitu aonya dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia

  • | KBC Video
    21 views

    Msajili wa vyama vya kisiasa nchini Anne Nderitu ameonya dhidi ya kile anachokitaja kuwa undumilakuwili katika kushughulikia sakata ya kung’atuliwa afisini kwa gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza. Akizungumza wakati wa kuzuka kwa wimbi la maandamano ya kupinga gavana huyo kuendelea kuhudumu ambalo limekumba kaunti ya Meru katika kipindi cha siku kadhaa zilizopita, Nderitu alitoa wito wa kuwatendea haki na usawa viongozi bila kujali jinsia. Huyu hapa ni Joseph Wakhungu na maelezo zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive