Ndindi Nyoro atahadharisha dhidi ya kukopa kiholela

  • | KBC Video
    21 views

    Aliyekuwa mwenyekiti wa kamati ya bajeti katika bunge la kitaifa Ndindi Nyoro ameibua tahadhari kuhusiana na kile alichotaja kuwa hatua ya ukopaji inayotiliwa shaka ambayo inatekelezwa na wizara ya fedha, uamuzi unaokisiwa kuwa hatari ya utumizi wa fedha za malipo ya kustaafu pamoja na upungufu uliopo katika bajeti ya kitaifa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive