NDINDI: Ushuru wa nyumba hauifai

  • | Citizen TV
    598 views

    Akizungumza wakati wa kusambaza ruzuku kwa wanafunzi wa shule za upili na vyuo vikuu, Ndindi alisema kuwa tasnia ya ujenzi ilipungua kwa asilimia mbili mwaka 2024, mwenendo ambao anauhusisha moja kwa moja na mzigo ambao kodi hiyo inawawekea raia wa kawaida na wawekezaji