NDMA yasema kaunti 22 kati ya 23 katika maeneo kame yaathirika zaidi

  • | Citizen TV
    310 views

    Mamlaka ya kitaifa ya usimamizi wa ukame NDMA imesema hali ya ukame nchini bado ni ya kudhoofisha huku kaunti 22 kati ya 23 katika maeneo kame ikiathirika zaidi. Hali hii imesababishwa na kuchelewa kuanza kwa msimu wa mvua. Mamlaka ya NDMA ikisema hali itaendelea kuwa mbaya zaidi huku wanaohangaika wakiendelea kusubiri usaidizi