NDOA ZA UTOTO BARANI AFRIKA NI JANGA

  • | VOA Swahili
    Takwimu kutoka Umoja wa Mataifa, zinaonyesha kuwa nchi za Afrika katika eneo la Sahel zimekuwa na viwango vya juu vya ndoa za watoto duniani, wakati zaidi ya nusu ya wasichana wanaolewa kabla ya kufikia umri wa miaka 18. Mwandishi wa VOA Henry Wilins anaripoti kutoka Burkina Faso kuhusu biharusi mwenye umri mdogo ambaye alimkimbia mume wake wa miaka 54 na hivi sasa ndiyo anatoa ushauri kwa manusura wa ndoa za utotoni. #DL #VOA #NDOAZAUTOTONI #CHILDMARRIAGE