Ndondi za kwanza Zanzibar Mandonga kupigana

  • | BBC Swahili
    461 views
    Mabondia 14 watashuka ulingoni leo hii Jumapili usiku, likiwemo pambano kuu la kwanza lisilo la ubingwa litakalopigwa visiwani Zanzibar baada ya takribani miaka 60 ya kuwepo kwa marufuku ya kuandaa mapambano ya masumbwi. Mabondia hao, akiwemo bondia maarufu nchini Tanzania na Afrika Mashariki, @k_mandonga ‘Mtu Kazi’ na wengine kutoka visiwani humo watatoa burudani huku wakitarajiwa kurudisha heshima ya mchezo huo maarufu duniani. Mwandishi wa BBC, @lasteck2023 ametuandalia taarifa inayowasilishwa na @frankmavura #bbcswahili #tanzania #zanzibar Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw