Ndoto ya kuimarisha kiwanda cha kusaga sukari cha Nzoia

  • | West TV
    64 views
    Huenda wakulima na wafanyikazi wa kiwanda cha kusaga miwa cha nzoia katika eneo bunge la kanduyi wakasubiri zaidi kutatuliwa kwa masaibu yanayowakumba, serikali ya kitaifa inapoweka mikakati ya kutoa suluhu la kudumu.