Skip to main content
Skip to main content

Ndugu na dadake wamenyana kumrithi baba yao ndani ya uchaguzi mdogo Isiolo South

  • | Citizen TV
    6,124 views
    Duration: 11:17
    Uchaguzi mdogo unaendelea katika eneobunge la Isiolo Kusini huku wakazi wakielekea debeni kumchagua mbunge wao. kiti hicho kimewavutia ndugu na dada, Tubi Mohammed Tubi na Bina Tubi, Wanaotaka kumrithi baba yao mohammed tubi, aliyefariki novemba mwaka jana. Isiolo South ina wapiga 22,161.