Ndugu wawili wafariki kutokana na kipindupindu Thika, Kiambu

  • | Citizen TV
    573 views

    Ndugu wawili wameaga dunia kutokana na ugonjwa wa kipindupindu katika kijiji cha Komo huko Thika kaunti ya Kiambu.