Ndugu wawili wauwawa kwenye mzozo wa umiliki wa miti Kakamega

  • | Citizen TV
    3,518 views

    watu wawili kutoka familia moja wamepoteza maisha yao huku watu wengine wakiuguza majeraha eneo la Eregi kaunti ya Kakamega kufuatia vurugu ya kifamilia. Patrick Shisanya na nduguye Ronald Shisanya walifariki nje ya boma lao baada ufyatulianaji risasi kuzuka. na kama vile emily chebet anavyoarifu, baadhi ya wale wanaouguza majeraha ni afisa wa polisi aliyejeruhiwa kwenye ghasia hizo.