Netanyahu asema wamekamilisha awamu ya kwanza ya kuwarudisha mateka

  • | VOA Swahili
    1,083 views
    “Tumekamilisha zoezi la kuwarejesha wa kwanza kati ya waliotekwa nyara. Watoto, mama zao, wanawake wengine” “Lakini ninasisitiza kwenu, kwa familia na kwenu, wananchi wa Israeli, tumejitolea kuwarejesha mateka wetu wote. Hili ni moja ya malengo ya vita, na tumejitolea kufikia malengo yote ya vita." #Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF