- 2,454 viewsMashambulio ya Israel yamendelea kufanyika katika ukanda wa Gaza Alhamisi licha ya kutangazwa makubaliano ya kusitisha mapigano na kuachiliwa kwa mateka na wafungwa wa Kipalestina. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Netanyahu asema wanaahirisha kwa muda kuidhinisha makubaliano ya Gaza
- 8 Feb 2025 - Outgoing Amani National Congress (ANC) officials have now told their party’s supporters not to be worried of the party folding to merge with President William Ruto's United Democratic Alliance (UDA
- 8 Feb 2025 - When Professor Abraham Kithure Kindiki took to the stage outside the Kenyatta International Convention Centre to take his oath of office as the third Deputy President of Kenya on November 1, 2024, the crowd erupted in cheers.
- 8 Feb 2025 - Leaders from Eastern and Southern African regional blocs gather in Tanzania on Saturday to seek a solution to the conflict in eastern Congo, where Rwandan-backed rebels have seized a major city in the worst escalation of fighting in more than a decade.
- 8 Feb 2025 - Canadian Prime Minister Justin Trudeau on Friday said U.S. President Donald Trump's talk about absorbing Canada "is a real thing" and is linked to the country's rich natural resources, a government source said.
- 8 Feb 2025 - International Criminal Court Prosecutor Karim Khan is the first person to be hit with economic and travel sanctions authorized by U.S. President Donald Trump that target the war crimes tribunal over investigations of U.S. citizens or U.S. allies, two…
- 8 Feb 2025 - Kindiki, the first high-ranking government official to visit Gachagua’s home county since the latter’s impeachment
- 8 Feb 2025 - Rwanda's President Paul Kagame was due to meet his Congolese counterpart Felix Tshisekedi in Tanzania on Saturday as regional leaders convene in a bid to defuse the conflict in Democratic Republic of Congo.
- 8 Feb 2025 - A grieving couple's nightmare deepens as their baby's body vanishes from a hospital morgue.
- 8 Feb 2025 - National Assembly Speaker Moses Wetang’ula has dismissed the High Court’s ruling on his dual role as Speaker and Ford Kenya party Leader, terming the decision as mere "ordinary comments" in law that are non-binding and have no practical effect.
- 8 Feb 2025 - When Kithure Kindiki joined President William Ruto's Cabinet in 2022 he wore a cloak of sanity, one that espoused a stark disdain for noisy and nosy politics. He manned the Interior Ministry as an equilibrist.