New York City Yakabiliwa na Uhaba wa Nguvu Kazi Sekta ya Ujenzi

  • | VOA Swahili
    160 views
    Sintofahamu katika sera za uhamiaji nchini Marekani zasababisha baadhi ya miji kama New York City kukabiliwa na uhaba wa wafanyakazi wa Ujenzi. Shirika lisilotafuta faida linasaidia wahamiaji kupata mafunzo kuhus ajira. Mafunzo haya hutolewa kuwaandaa wafanyakazi kufahamu masuala ya usalama katika viwanja vya ujenzi. Hii ni hatua ya kukabiliana na uhaba wa wafanyakazi wa ujenzi katika jiji la New York. Endelea kusikiliza... #wahamiaji #ujenzi #uhaba #newyork #marekani #voa #voaswahili