Ngariba 15 walioenzi ukeketaji waasi uhalifu huo kaunti ya Tana River

  • | Citizen TV
    100 views

    Madhila na uchungu wa kijembe cha ngariba yaliyowakumba zaidi ya wasichana 150 wa eneo la Minjila katika kaunti ya Tana River kwa kipindi cha muda wa miaka mitatu yamewachochea akina mama zaidi ya 15 waliokuwa wakiwakeketa wasichana kuasi uhalifu huo.