Ngoma za Burundi zenye mvuto ambazo ni mwiko kwa wanawake kuzipiga
Ngoma za Burundi zimekuwa kivutio kote duniani kutokana na midundo yake yenye mvuto na tayari ngoma hizi zimeshirikishwa katika filamu maarufu na albamu kadhaa kote duniani. Kutokana na ubora wake ngoma hizi sasa zinatambulika na Shirika la Umoja wa mataifa kuhusu Utamaduni Unesco kama urithi wa utamaduni usioonekana.
Kiasili ngoma hizi zilipigwa wakati wa sherehe maalum kama vile kuzaliwa kwa mtoto, mazishi na kutawazwa kwa mfalme. Lakini sasa serikali imepiga marufuku ngoma hizi kupigwa bila idhini ili kulinda mila zinazoendana na Ngoma za Burundi. Moja wapo ya mila hizi ni kwamba ni mwiko kwa mwanamke yoyote kuzipiga.
Hivi karibuni Idhaa ya Kiswahili ilikuwa Burundi ambapo ilipata fursa ya kutumbuizwa na kikundi kimoja cha Ngoma za Burundi ili kufahamu mengi kuhusu ngoma hizi.
#bbcswahili #burundi #tamaduni
20 Aug 2025
- Govt in plans to distribute new vehicles by November.
20 Aug 2025
- Ruto's sentiments elicited heated debate among leaders.
20 Aug 2025
- The changes impact payment of deductions.
21 Aug 2025
- India's government introduced a bill on Wednesday to remove top politicians if they are arrested and detained for 30 days, which opponents called a "chilling" bid to crush constitutional safeguards.
21 Aug 2025
- MSMEs urged to embrace AI for enhanced customer experience
21 Aug 2025
- How courts have tamed Ruto's appetite for illegal task forces
21 Aug 2025
- Ruto on diplomatic tightrope as Japan, China vie for favour
21 Aug 2025
- Uncertainty over university fees as CS keeps costs under wraps
21 Aug 2025
- Cost of homes up as UN offices move to Nairobi
21 Aug 2025
- Former deputy president's plans to popularise 'wantam' campaign
21 Aug 2025
- Big blow to President after court blocks his anti-corruption team
21 Aug 2025
- Job loss fears as high taxes, weak demand push firms to the brink
21 Aug 2025
- Court told of missing gun in Rashid's trial