Nguvu ya "uchumi wa Panda" inaendelea kuimarisha matumizi jijini Chengdu

  • | KBC Video
    2 views

    Nguvu ya "uchumi wa Panda" inaendelea kuimarisha matumizi jijini Chengdu, mkoani Sichuan, kusini-magharibi mwa China. Sekta ya utalii na utamaduni inanufaika pakubwa na ongezeko la mahitaji ya bidhaa zenye taswira ya panda pamoja na ziara katika hifadhi kubwa za panda, hali inayoshuhudiwa kuongezeka kwa kasi katika miaka ya hivi karibuni

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive