Ni Jackson Njuguna sio Ndiang’ui Kinyagia: Familia yatambua kijana aliyepatikana Ruaka

  • | NTV Video
    5,292 views

    Familia Kiambu yametambua jamaa aliyepatikana Ruaka

    Wanasema ni mchuuzi kwa jina Jackson Njuguna Wambui

    Anasemekana alipotea bila kupatikana siku ya Jumapili

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya