'Ni mapacha': Korea Kusini yapata mapacha wa kwanza wa panda

  • | BBC Swahili
    1,111 views
    Bustani ya wanyama nchini Korea Kusini ilipata panda pacha wa kwanza kabisa nchini humo siku ya Jumanne. Watoto wote wa kike walizaliwa kwa kupishana saa kadhaa, wakiwa na uzito wa 180g na mwingine 140g. Kulingana na bustani ya wanyama ya Everland theme park, mama Ai Bao na watoto wake mapacha wako katika afya njema. #bbcswahili #koreakusini #panda