Ni mwendo wa kusubiri matokeo nchini Kenya

  • | VOA Swahili
    211 views
    Siku tatu baada ya wakenya kupiga kura tume huru ya uchaguzi ya IEBC bado haijatangaza matokeo ya kiti cha rais na kuzusha wasi wasi juu ya nini kinachoendelea. Hata hivyo matokeo ya uchaguzi wa bunge la taifa mabunge ya county na magavana, yanaenelea kutolewa kukiwa na mivutano katika matokeo ya baadhi ya maeneo bunge.