Ni yapi yaliyo ndani ya mkataba wa Rwanda na DRC

  • | BBC Swahili
    2,291 views
    Mwishoni mwa juma Rwanda na DRC walitia saini mkataba wa makubaliano ya amani kati yao chini ya mwavuli wa Marekani ili kusitisha mzozo wa miaka mingi. Ni yapi yaliyo ndani ya mkataba huu, uliotiwa saini kati ya mawaziri wa mambo ya nje wa Rwanda na DRC? Ni hatua gani zinazofuata? Vipi kuhusu M23? @RoncliffeOdit anachambua kwa kina suala hili na mengine mengi katika Dira ya Dunia TV kwenye ukurasa wa YouTube BBC Swahili. - - Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw