Nicholas Owuor ashtakiwa kwa ulaghai

  • | KBC Video
    6 views

    Mwanamume mmoja ameshtakiwa kwenye mahakama ya Makadara kwa madai ya kumlaghai mfanyibiashara mmoja shilingi milioni 1.7. Nicholas Owuor, ambaye alikuwa mfanyikazi wa kampuni moja ya kawi anadaiwa kutumia jina la kampuni hiyo kupokea malipo ya mafuta ya petroli ambayo hakuwasilisha. Hakimu Irene Mugo aliagiza Owuor aachiliwe kwa dhamana ya shilingi laki sita au bondi ya shilingi laki nne pesa taslimu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive