Skip to main content
Skip to main content

‘Nikiwa na miaka 12 nilitafutiwa mume wa miaka 50’

  • | BBC Swahili
    856 views
    Duration: 7:59
    Theresia Mollel ni muathirika wa ndoa za totoni, Akiwa na miaka 12 alifanikiwa kukimbia ndoa ya utotoni baada ya kutafutiwa mwanaume wa miaka 50. Lakini usiku mmoja, kwa msaada wa kaka yake, Theresia Mollel alitoroka kijijini kwao Ngorongoro hadi Arusha kuokoa ndoto zake. Leo hii, ni mtaalamu wa dawa za usingizi, mama na mke, anayepigania afya na elimu kwa wanawake wa jamii ya kimasai. Martha Saranga alimtembelea Arusha kaskazini mwa Tanzania na kuzungumza nae katika waridi wa BBC. #bbcswahili #NdoaYaUtotoni #Ujasiri Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw