'Nikiwa wa kwanza kurusha risasi, nitakuua mwanangu’

  • | BBC Swahili
    1,007 views
    Hii ni hadithi ya familia moja iliyogawanyika katikati ya mapinduzi na vita vikali vya wenyewe kwa wenyewe. Bo Kyar Yine anaongoza kikundi cha wapiganaji wa demokrasia nchini Myanmar ambapo watoto wake wanne wa kiume wanapigana sambamba nayeye lakini wengine wawili wanapambana na jeshi la nchi hiyo. Kuna nafasi ya kukutana uso kwa uso na ‘wapendwa wake’ kwenye uwanja wa vita. Bo Kyar Yine anasema wazi kwamba atawaua watoto wake hao ikiwa atakutana nao kwenye mstari wa mbele. #bbcswahili #myanmar #vita