'Niliamka nikapiga kelele baada ya kujua nimetapeliwa figo yangu'

  • | BBC Swahili
    Wanahabari wa taarifa za uchunguzi BBC wamezungumza na mfanyabiashara wa viungo vya binadamu ambaye amesema kuwa genge lake hupanga upandikizaji haramu wa figo 20 mpaka 30 nchini Misri kila wiki. Hiba ni mwanamke mweusi ambaye ni mwathirika. Aliachwa na figo moja na bila malipo baada ya kudanganywa na wahalifu hao baada ya kufanyiwa upasuaji #utapeli #wanawake #misri