'Nilibaini kuwa mwili wangu unafaa kwa densi hii'

  • | BBC Swahili
    866 views
    Kutana na Esraa Warda raia wa Algeria anayeishi New York ambaye amedhamiria kupelekea uchezaji wa ngoma za asili kutoka katika mila na tamaduni zinazoongozwa na wanawake wa Afrika Kaskazini duniani kote kwa kufungua madarasa na kuwafundisha wanawake nchini Marekani. #bbcswahili #BBC100women #algeria