‘Nilichoongea na rais ni siri yangu’

  • | BBC Swahili
    1,775 views
    Georgia Magesa, 9 mwandishi Mtoto wa vitabu kutoka nchini Tanzania amejizolea umaarufu mkubwa mara baada ya kuonekana mtandaoni akiwa amepewa fursa na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, kukaa katika kiti cha rais. Mwandishi wa BBC @martha_saranga alizungumza na Georgina kujua kuhusu safari yake ya uandishi wa vitabu kuanzia kitabu cha ‘Georgina in Zanzibar’ mpaka ‘My Journey to Meet the President’. 🎥: @bosha_nyanje ✍️: Esther Namuhisa #bbcswahili #mazingira #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw